About this page

Dear Visitor, kindly note that this is a short & uncontrolled translated version of the English website. That is why you can't rely on this version to make a decision. We would like to ask you to visit ABMSwiss.com

The details you find on this version are old and not updated. So, only the English version is valid

Joint diploma AWT1

Students Testimonials

Students Testimonial about ABMS Male Student Testimonial about ABMS Famle Student Testimonial about ABMS

Imani , Umoja na Nidhamu ni muhimu kwa mafanikio

Chuo cha Usimamizi wa Biashara - ABMS - Chuo Kikuu Huria cha Uswisi ni chuo kikuu cha kisasa kilichopo katikati ya nchi ya Uswisi , na chuo kinachotilia mkazo masuala yote ya sekta ya usimamizi na biashara. Kina utamaduni wa muda mrefu wa usimamizi katika nchi ya Uswisi, na chuo hiki kina mandhari inayowezesha vijana kutoka sehemu zote za ulimwengu kote wanaotaka kujifunza taaluma za biashara na usimamizi kutimiza lengo lao la kusoma.

Ni mara ya kwanza kwa wengi wa wanafunzi wetu kusoma kupitia mtandao wa intanet, na kusoma na wanafunzi wengi kwa muda mrefu waliotoka katika tamaduni tofauti na geni . Hivyo basi sisi huwapa msaada kila wakati kuanzia mwanzo hadi mwisho wa masomo yao. Hata baada yao kuhitimu, tupo tayari kuwasikiliza na kujibu maswali yao.

Wanafunzi hujifunza kuhusu sekta ya biashara na usimamizi katika mandhari bora. Mitaala huhusisha masomo yote yanayohusiana na usimamizi wa biashara, na baada ya kozi wanafunzi wanaweza kufanya ……… ili kuendelea kusoma . Idadi ya wanafunzi shuleni inawezesha shule kufundisha na kujali kila mwanafunzi kivyake ikizingatia tamaduni, dini na asili ya kila mmoja.

Dr. Brayen

Raisi wa ABMS

 

Video about Location Video about Graduation Video about Switzerland
Zurich City Graduation at ABMS About Switzerland

ABMS - The Open University of Switzerland

Contact us

1000 characters left
ABMS
The Open University of Switzerland

Walk-in: Freilagerstrasse 39, 8047 Zurich

+41443200033
+41(0)435395377

DO YOU HAVE ANY QUESTION? Send Email OR Contact us

Accredited and member by
ISO
ACBSPEFQM
here you can find full list

Registration

ABMS is officially registered in State of Zug - Switzerland Reg.Nr. CH-170.4.012.134-9, for Further informations please check the official Stadt Zug - State of Zug website

Recognition

Part of A.B.M.S. Education Group for Further informations about A.B.M.S. Education Group please check the Government's Official Web Portal - State of Zug (Switzerland)

EUCDL.pngAlmond-Vocational-Link-Ltd-logo.jpgISO.pngACBSP.pngECLBS.pngCHRIE.pngThe-Restaurant-Association.jpgUNESCO.jpgIQS.jpgEFQM.pngAHLA.pngSTA-Travel.jpgBHA.pngASCBE.gifASIC.jpgDiethelm-Keller-Siber-Hegner.pngITIC-IYTC.jpgISIC.jpg